Bwana Yesu Hajawahi Kushindwa
Siku zote, tunaposhindwa, tunapoanguka, tunapoumia na kudharauliwa.. Tusisahau hatuko peke yetu katika kila hatua, Bali tunaye Bwana wa Mabwana, mfalme wa wafalme, jemedari mkuu, Bwana wa Vita, hatatuacha tupigane peke yetu! Hajawahi na kamwe haitatokea akashindwa.
Ni jambo gani la kumshinda huyu Mungu wa Ibrahimu, wa Isaka na Yakobo? HAKUNA
Ni yeye Yule Jana, Leo na hata milele Waebrania 13:8
Mbarikiwe wapendwa, asanteni kwa kuendelea kufuatilia hapa..
Comments
Post a Comment